Isaiah 14:20

20 aHutajumuika nao kwenye mazishi,
kwa kuwa umeharibu nchi yako
na kuwaua watu wako.

Mzao wa mwovu
hatatajwa tena kamwe.
Copyright information for SwhNEN